Fahamu matokeo ya mechi ya England vs Italy, wafungaji na matokeo hapa

Michuano ya kombe la dunia kwa mwaka 2014 imeendelea na siku ya jana majira ya usiku kulikuwa na mechi nne zilizo chezwa.



England ilikutana na Italy katika mchezo uliochezwa majira ya saa saba za usiku kwa saa za Africa mashariki. Katika mchezo huo Italy imewachapa engand kwa mabao 2 - 1

Magoli ya Itality yalifungwa na Marchisio katika dakika ya 35" na katika Kipindi cha pili Super Mario Balotelli akaifungia Italy goli la pili na la ushindi mnamo dakika ya 50"

Kwa upande wa england goli lilifungwa na Daniel Sturridge katika dakika ya 37" likiwa ni goli la kusawazisha.

Tazama video ya magoli yote hapa