World Cup 2014: Fahamu matokeo ya mechi ya Ivory Coast vs Japan, wafungaji na matokeo hapa

Jana usiku timu ya pili toka Afrika "Ivory Coast" imeingia dimbani kucheza na Japana, katika mchezo ambao ulimalizika kwa goli 2-1
Mchezo huu ulichezwa majirea ya saa 10 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Ivory coast ndio walio ibuka washindi kwa kuwafunga Japan bao 2-1 na kunyakua pointi 3 muhimu katika kundi lao.
Japan ndio walio anza kupata goli la kwanza kupitia kwa mshambuliajai wao Keisuke Honda mnamo dakika ya 16" tu ya mchezo
Magoli ya Ivory coast yaliofungwa na Wilfred Bony dakika ya 64" na Gervinho dakika ya 66"
Tazama video ya magoli yote hapa

Post a Comment