Arsenal yaadabishwa 2 - 1 Emirates, Rooney airudisha United top four
Arsenal Yapokea kipogo cha aibu katika uwanja wake wa nyumbani katika mchezo uliochezwa hapo jana dhidi ya Manchester united. Ikumbukwe kuwa arsenal walisha wahi fungwa goli 8 kwa 1 wakiwa Old traford hii ikiwa ni rekodi ya mabao mengi sana arsenal kuwahi kufungwa na united.
Si kama Arsenal walicheza vibaya.. la hasha bali haikuwa siku yao kuwa funga united.
Kieran Gibb’s ndio alianza kuipatia United bao la kwanza baada ya kujifunga na baadae captain Wayne Rooney akamalizia kwa bao la pili na la ushindi na kuifanya unite kujiweka pointi 3 kibindino nakuwarudisha katika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi.
Arsenal walifanya mabadiliko kwa kumuingiza Olivier Giroud ambae alifanikiwa kufunga goli la kufuta machozi katika dakika za nyongeza na kufanya mchezo kumalizika ikiwa 2 - 1
‘It was a game that we dominated for 80 per cent of the time and it’s a long time since we have dominated games against Manchester United like we did today,’alisema Wenger katika mahojiano na waandishi wa habari baada ya mchezo kumalizika.
Post a Comment