Reginald Mengi kukava jarida la Forbes Africa mwezi July
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, bwana Reginald Mengi kukava jarida la Forbes Africa toleo la mwezi July.
Forbes Africa wameachia picha ya awali ikimwonyesha bwana Mengi akiwa kwenye kava la Forbes Africa linalotarajiwa kutoka mwezi ujao, huku likiwa na ujumbe wa "Barefoot to $550 Million"
Reginald Mengi ni miongoni mwa wa Tanzania walio bahatika kuingia kwenye list ya Forbes Millionares huku utajiri wake ikiwa ni $550 Millioni
Ndani ya jarida hili utakutana na makala inayo simulia maisha ya bwana Reginald Mengi tangu alipoa anza hadi leo hii ambapo ana utajiri wa zaidi ya $550 Million.

Post a Comment